Baada ya kimya kirefu, The Baddest Hip Hop MC Hamis Mwinjuma a.k.a Mwana FA a.k.a Binamu he’s back kwenye radio waves na mara hii amefanya collabo na Best Female Singer Tanzania na Afrika Vanessa Mdee a.k.a Vee Money kwenye single yake mpya “Dume Suruali”.![cxxd9z5wqae_1eb](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_sYo3hdXjLuAy7kRqICxVaeM3goWuXrBrZwIL8uY_5Nva-9KyB-yKJtv1utO238suTVcuxPEVeTh-xg19FbMyGdA-GG_w02KvFaM3f0IHCJWj1ojLD1VJ-AHfydc0wj_cACplz9SPcqEQ9l1tOJcnYWeRIRAlCA7lT4xvMiJKk1eQ=s0-d)
Singe hii imetayarishwa na Producer Daxochali kutoka studio za MJ Records. Kwa wale wasiofahamu Doxochali ni mdogo wa Marcochali ambaye ni Producer mkongwe kwenye game ya BongoFlava.
Nimekuwekea hapa single hii. Bonyeza play kusikiliza.
ConversionConversion EmoticonEmoticon